Kabisa mkuu, nahisi anamfaidi sana hasa kama scarlet akiwa kitandani vile ninavyomuwazia kuwa, atakuwa ni mwanamke mtamu saana, na kama jamaa nae akiwa anajua kumtumia ndio kabisahahaaaa mwalimu kashasha umeanza yako aseee..
Nampendaga sana hyu simpatii picha mwanaume wake anavyo faidi
Kumbe ndio huyu!! Namsikiaga tu
Nyie mnaopenda Masculine man mwangalie pia Chris Hemsworth.. Ila Chris Evans yuko status ya juu! Yeye haseduzi madem wanamiminika tu
Usiwapende sana bibie maana hutowapata. Bora uwekeze kwangu muda wowote twaweza onanana
Wale nawapenda tu kuwacheki nainjoy filamu zao basi....uwezo wa kuwapata ni ndoto tu.Choice is yours uwekeze mahaba kwa hao usioweza kuwaona na hata ukiwaona hutakua level yao au mimi mbantu mwenzio
Aahh!! Mie yakinogea nayamwaga tu, nilijisahau kabisa nikajua niko kule kwenye dunia isiyo na mipaka.Mwalimu kashasha naona ulikua unazania upo kule Inner core.. huyu manzi ni hai levo, Yaani ukiwa nae unajua kabisa nipo na mwanamke wa shoka..
Nyie mnaopenda Masculine man mwangalie pia Chris Hemsworth.. Ila Chris Evans yuko status ya juu! Yeye haseduzi madem wanamiminika tu
Idris anapendwa sana. Ule mwili wake unatubamba sana
Siku hizi kazeeka uzuri unaisha alikuwa hb badalaaa
I couldn't hold myself way better, everytime i saw her beautiful face [emoji23][emoji23][emoji23] from "Love Don't Cost a Thing", nilitamani niwe Nick Canon hata kwa week moja tu.
View attachment 1211348
Anaitwa nani
Kumbe ndio huyu!! Namsikiaga tu
Watu mnajua kula kwa macho aisee.1. Regina Gomez
2. Moran Atias
3. Condola Rashad
4. Mila Kunis
5. Amandla Sternberg
6. Sarah Wayne Callies
7. Famke Janssen
8. Ginna Torres
9. Sandra Bullock
10. La la Anthony
11. Priyanka Chopra
12. Aunjanue Ellis
13. Yasmine Al Masri
14. Cynthia Addad Robinson
15. Simeone Missick
16. Yvonne Strahovski
17.
List inakuja...