umenikumbusha...watoto wa mjini kwa mbwembwe anaiweka kidogo wine mdomoni anaizungusha humo na kuisikiliza ladha yake kwa sekunde kadhaa!Starehe ya wine unywe kwenye glass tena uishike kwa pose.
Haha waiter anapokuonyesha jina na mwaka. Kuna wine za 1927 bei yake tunaweza kuweka mabati nyumba zote za nyasi kule kwetuumenikumbusha...watoto wa mjini kwa mbwembwe anaiweka kidogo wine mdomoni anaizungusha humo na kuisikiliza ladha yake kwa sekunde kadhaa!
Ndo maana nakimbilia St. Vincent maana najua bei yake ni poa.Haha waiter anapokuonyesha jina na mwaka. Kuna wine za 1927 bei yake tunaweza kuweka mabati nyumba zote za nyasi kule kwetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] whats so special about such wine?Haha waiter anapokuonyesha jina na mwaka. Kuna wine za 1927 bei yake tunaweza kuweka mabati nyumba zote za nyasi kule kwetu
maajabu yake akikuwekea ukainywa unabaki kustaajabu utamu wa ladha ya mwaka 1927, vya kale dhahabuHaha waiter anapokuonyesha jina na mwaka. Kuna wine za 1927 bei yake tunaweza kuweka mabati nyumba zote za nyasi kule kwetu
Kwani hapa inazungimziwa K Vant? Mambo ya wine nimewaachia wanawake na wenye tabia za kikeSidhani kama babu Asprin anafuata hizi hatua zotee..
Kiu ya pombe wanaijua vizuri wanywaji, hamna kuchelewesha , chupa ikishafika mkononi[emoji28][emoji28][emoji28]
That's my boy!huyo mzee zake K Vant tu, akinywa wine ataumwa tumbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani hapa inazungimziwa K Vant? Mambo ya wine nimewaachia wanawake na wenye tabia za kike
Wine improves with age..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] whats so special about such wine?