upo sawa sana na nimeamin mtazamo wako utakuta mtu kahangaika kwenye mahusiano over and over years kila kukucha hata ukitenda jema lipi uhusiano uta break tu no matter how you behave/treat your patner lazima uta brekiwa huo moyo wakoso i belive there are some people are meant to stay alone ..kumbuka hapa hatuongele kuwa na 'voda faster' tunaongelea ndoa halaliremember: Marriage is not for everyone...
Pamoja na kuwa niko single kamwe siwez kuwa peke yangu maisha yangu yote... Mungu alimuumba mwanamke ili nisiwe mpyeke so jamaa yako aliyeumbwa kwa ajili yako anazidi kuwa myonge kila siku... na mpyeke mmh usimtese mwana wa mwenzio!
Dogo mimi ni brother,apart from that kuwa peke yako ni mipango ya Mungu so hutakua na mwenzio!
Lutamyo
Hii ni lugha gani? ni hiki hiki Kiswahili au???
eiyer my dear (nna stress za kule kwenye jukwaa la siasa,dah! its a relief to buy urs)
kwanza nimekumisez,mbona ulipotea? pili, the worst thing that can ever happen to u is giving up on urself. u ar never defeated unless u give up. mungu hachelewi wala hawahi,lakini kuna vitu vinachelewa for a reason. hebu fuata ile formula ya kipepeo,usimkimbize. be calm na atakuja kutua begani kwako.
Du bs pole maana hawa ndo wanaolalamika sn juu ya kutendwa... Ila naomba utambue km huna karama ya utowashi ni budi kuoa kuliko kuendesha mambo ya kiasherati ni ushauri tu... Tulia mbele za Bwana naye atakupa aliyewako.
Mimi ni towashi!Pia sizini wala siwaki tamaa!
...mh! alone forever?!! ..it is easier said than done!