Nilishamuelewa kuwa hajielewi nikampotezea.....!!Habari yako zinc
Always..Black is beauty...
Poa kabisa miss strong. Harakat'z mjini zinaendelea. Weekend unatulia wapi?
endelea kutishika...njia kuu yako ndio mchepuko wangu!!halo halooooooooooooooo
Muke ya muyahudi umesoma tabora girls a level? coz nilisoma na ex mmoja wa max mzee wa chaidaz,anaitwa br.....plz nijibu twaweza kuwa classmates
mwanamke mifupa mitupu.
khaaaaaa!!!!!!
Aah no plz sijasoma hapo ila namjua huyo nadhani lol tulikuwa wwngiii.mh ndo kilichonishnda aisee..mi nimesoma Marian plzz usiseme unanijuaa mamaaa
Wkend hii ntaianzia mwenge kwa mama kamche kula mdudu then samak samak ya mliman city itahusika.
Hahahahah nafahamu mlikuwa wengi the boy had his fun and now ameamua kusettle tumwombee,yale mambo yake yalee si rahisi kuacha kihivo bt hongera Joshua aka max nisiongee mengi.
Mambo ya siku izi unaweza kuta jamaa keshaonja hapo
Harusi ya muheshimwa Ibrahim Lipumba naye ni Lini?
Wewe bado mshamba!
Umeona eeeh.....wenyewe wanasema shake well before use lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Acha kukurupuka......!!!Naona hapo chini ushajibiwa.