Some wise kenyans on twitter arguing about their fake brt vs the real brt in dar.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
kenya's brt is a big joke not only to tanzanians but even to kenyans themselves.

there is an ongoing tight discussion on twitter about kenya's brt.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utaambiwa na hao Wa kwenye tweeter sio wakenya ni watanzania

Unajua wakenya wamekata tamaa kama watanzania walivyokata tamaa kwa JK katika nyanja za usimamiz Wa serikali na ulinzi Wa rasilimali
 
Seems humu ndani hakuna wise Kenyans. BTW i won't be surprised if the price of Kenya's BRT is twice that of DART! U know Kenya...
 
Seems humu ndani hakuna wise Kenyans. BTW i won't be surprised if the price of Kenya's BRT is twice that of DART! U know Kenya...
Hata humu, wakenya wengi wanakubaliana na ukweli kwamba Tanzania ni nchi ya mfano, lakini kwasababu hapa ni mabishano zaidi, sio rahisi kwao kukubali kirahisi, ila wanapokua huko kwenye tweeter na facebook, huwa wanasema wazi wazi kwamba Tanzania sio nchi ya kulinganisha na Kenya, hasa kuhusu uongozi wa nchi, wengi sana wanamkubali Magufuli.
 
kuiga?.. bbc kuweni na adabu. hawajafikia hata robo yake.

acha tu waendelee kuchora mistari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kweli Tanzanians you are obsessed with Kenya, mpaka mnafuata what Kenyans are discussing on twitter duh!
Wanatumaindi sana jombaa. Sijui hata sisi pia tuwafate kule insta? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dah! Ulidhani nipo serious? Haya basi tueleze kinachoendelea huko.
Kule ni maswala ya makalio nani anakalio kubwa kuliko mwenzane ,nani na nani wanachomekana dyu dyu ,nani shoga na nani msagaji !
Wakati mwingine ninamuhurumia magufuli maana anakazi sana ya kuwabadilisha watanzania wa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…