HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Mkuu kuwa na ndoa haimaanishi watu wanafanya ngono....wapo walio wengi wanaondoa depression kwenye nyumba ndogo ambako wizauti kondom inahu zaidi.....
Not good enough....kuwa kwenye ndoa hakumaanishi una practice wizauti kondom na mume/mke wako na nje ukatumia kondom....kwasasa walio ndani ya ndoa ndio wapiga wizauti kondom nje kuliko singles....
Hapa unamaanisha kuna ndoa zisizo na ngono ndani yake?
Tafsiri ni suala mtambuka sana....kukupigia simu,kukufuata,kukutoa out nk yote hayo yanaweza swihi kwenye tafsiri hiyo....
Tafsiri ni suala mtambuka sana....kukupigia simu,kukufuata,kukutoa out nk yote hayo yanaweza swihi kwenye tafsiri hiyo....
Ya ndani ya nyumba ni mengi sana mkuu....nina ndugu yangu wa kike just 26 kaolewa na ana mtoto mmoja...mumewe mwezi wa sita sasa hawaja do....
Upuuzi!
ha ha haaaa dah...a brother surely needs more than a single wallet and a bunch a dem cards to satisfy...:A S cry:Hiyo si kuhonga bwana, hivi hujui kuna wanaume wanahongwa? Nenda love connect uone mabandiko ya kutafuta wamama wa kuwalea vijana!
Kuhonga inaanzia na trip ya visiwa vya madagascar au usheli sheli. LOL
yeeeeeaaaah....Upuuzi? Kwani Mungu alipotuumba hakujua kazi yake? We Mwali usimkufuru Mola Wako!
Condom zimegunduliwa na mwanadam, lakini kabla ya hapo, Mola hakuzileta. Tumezileta sisi.
Upuuzi? Kwani Mungu alipotuumba hakujua kazi yake? We Mwali usimkufuru Mola Wako!
Condom zimegunduliwa na mwanadam, lakini kabla ya hapo, Mola hakuzileta. Tumezileta sisi.
ngoja na mie nifanye utafiti kama chumvini kunaondoa depression kwa wanaume. Nitaambatanisha na picha na ushuhuda wa sample. ntaomba kuanza huu utafiti na Vin Diesel halafu ntakuja kwa wengine. nadhani hapa JF kuna wanaume wa kutosha kupata concrete results. naombeni ushirikiano wenu
LOL
A little biological background is helpful. Semen (or seminal plasma) contains only 1 to 5 percent sperm. The rest of the chemical composition includes more than 50 compounds with various functions. A few of the more notable elements include cortisol (increases affection), estrone (mood elevator), prolactin (a natural antidepressant), oxytocin (mood elevator), thyrotropin-releasing hormone (antidepressant), melatonin (induces sleep), and serotonin (well-known antidepressant neurotransmitter), among many others. It's not a stretch for researchers to then consider whether semen would have antidepressive effects, given its composition.
Aiseee, sasa na huyo mtoto ni wa huyo mwanaume au mwanaume ana uwezo wa ku-do just twice per year?!
I see!
NB: But, having an unprotected sex is clearly a risky proposition in today's world
ngoja na mie nifanye utafiti kama chumvini kunaondoa depression kwa wanaume. Nitaambatanisha na picha na ushuhuda wa sample. ntaomba kuanza huu utafiti na Vin Diesel halafu ntakuja kwa wengine. nadhani hapa JF kuna wanaume wa kutosha kupata concrete results. naombeni ushirikiano wenu
LOL
Lakini jamani kama simu, mdada hapigi? Kama out, akikualika nyumbani na kukuandalia dinner na glass ya wine kwa tafsiri hiyo naye si atakuwa amekuhonga?