“Someni sayansi, someni sayansi”; mnatania au mko serious?

“Someni sayansi, someni sayansi”; mnatania au mko serious?

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Ngazi za msingi na Sekondari sawa ngazi za vyuo mpango upo au ? Mie naona kama ndoto za watoto kusoma wanachokipenda zinachezewa

Screenshot_2021-07-11-12-43-55.jpg
Screenshot_2021-07-11-12-05-42.jpg
Screenshot_2021-07-11-12-43-16.jpg
Screenshot_2021-07-11-12-43-16.jpg
Screenshot_2021-07-11-12-06-14.jpg
Screenshot_2021-07-11-12-06-14.jpg
Screenshot_2021-07-11-12-06-14.jpg


Screenshot_2021-07-11-12-43-55.jpg
 
Someni science wakiugua hawatibiwi Muhimbili
Someni science, watoto wao wanawasomesha utawala
Someni science, mashule, vyuo hakuna viti, hakuna madawati, hakuna umeme, hakuna maabara...
Someni science, kila kitu wanaagiza nje mpaka toothpick, furniture...
 
Ni lini science imewahi kufundishwa hapa Tanzania??

Hapa Tanzania inafundishwa "historia ya science". Hakunaga science ndiyo hata vijiti vya meno tunanunua toka nje ya nchi.
Mnasoma Isac Newton aliwazaje mambo ya gravity kwa kuangalia apple limeanguka mtini😅

Bolyes law

Archimedes principle dah😅😅😅
 
Science sio masomo mkuu
Science ni namna gani unafanya mambo yako kila kukicha na vile unavyoyafanikisha
Sasa mtu anaweza kusoma historia ya sayansi ya yeye akaitwa mwana yasandi
Hivi hiyo admission capacity ndiyo uwezo wa chuo kusajili kwa course husika au Mimi sijaelewa??!!
 
Hapo kuna vitatu viwili vya mwongozo kuna cha watu wa diploma na cha watu wa form six. Sasa ukiweka idadi kubwa ya watu wa diploma si utajaza wazee humo darasani.
 
Nchi hiii hasa awamu ya jiwe kwenye suala la elimu ya juu kidato cha tano na cha sita na vyuo vikuu na vya kati pamoja na vile vya ufundi kuna usingizi mzitooo sana. Jk alijitahidi kuweka mazingira sawa watu binafsi kuwekeza JPM akaua mwendelezo huo kwa sababu za kudhibiti ubora na kutaka vyuo vya serikali ndio vifanye udahili akusanye mapato.
Mwaka jana nacte walifunga dilisha la maombi kabla ya matokeo ya form 6 kutoka. Nilitafuta namba zao nikawaeleza utopolo walioufanya.
Infwacti hii nchi inausingizi mzito kwenye suala la elimu ya juu kuanzia miundombinu mpaka admission capacity ya vyuo vya serikali.
Ni utopolo mtupuuuuu
 
Back
Top Bottom