Someone serious aje tufanyee biashara.

e.mushi

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Posts
217
Reaction score
160
Wakuu.
Mimi ni mtaalamu wa usindikaji wa chakula. Nimesomea BSc Food science and technology , SUA.
Nahitaji mtu wa kufanya biashara katika hizi zifuatazo.

1. Pombe aina ya wine ila siitaji wine ya mmea upi hapa.
Nifanya tafiti nikaona itakuwa vizuri km ikifanyika Dar kutokana na soko lake kuwa kubwa au Moro kutokana na malighafi hupatikana kwa wingi.

2. Milk and milk products
Kusindika maziwa na kupata mazao mbalimbali km yoghurt, cultured milk, siagi na samlibya maziwa.
Nimefanya tafiti nikapendekeza dodoma.
Najua malighafi maziwa yanapopatikana kwa wingi.

3. Super Togwa.
Togwa ya ulezi na mtama.
Hii kwa Dar ndio itakuwa na wanywaji wengi. Ni togwa ya kisasaa ambayo nina hakika itapendwa sana.

Products zote hapo juu nimeshazitengeneza sana na hata kuzifanyia sensory evaluation na consumers acceptability.

Ukitaka nitakutengenezea samples kwa kuziangalia na wewe.

Ninataka tujenge partinaship.

Mtaji wa hizo biashara inategemea na wewe unataka kuanzia ktk scale gani.
Kama utataka tuanze kwa kusindika na kuuza bila kupack au kupack kwa vyombo ambavyo sio maalumu basi minimum ni 5 Millions Tsh. Hapo ni gharama pamoja na frem mbili ambazo zinatosha kufanya process zote kwa small scales.

Kwa aliye tayari aje inbox tuongee kwa upana zaidi na hata kukutana.

Naomba aliyekuwa inspired na serious katika hili aje tuyajenge.
Karibuni.
 
Nadhani ww tuligraduate wote SUA 2014 basi ntakucheck ila Mil. 5 mmmmh
 

Nasoma SUA mwaka wa Tatu,ndo namalizia kama unaweza kunisubiri mwakani,tunaweza kuwa Partners,kwenye biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…