Someone should be held accountable: Aweso or Top Manyota?

Mama yetu Samia katuharibia sana Nchi yetu.Nchi haikuwa na shida ya maji kama ilivyo Sasa lakini aliporithishwa tu matatizo lukuki ameyaongeza.
 
Tatizo siasa nyingi kuliko utendaji kazi.
Hii mcgi ina laana, maji tabu, umeme changamoto, just imagine na joto hili la dar huna umeme, huna maji.

2022 sijui ile, rais alikuja kuzindua mradi wa maji, mpaka hivi leo kigamboni hatujanywa tone la maji toka mradi ule.. Nahisi walimpiga za uso, pale wamerekebisha tank na miundombinu ya pale pale, kumbe mtaani mabomba hayajasambazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…