Sometime kusamehe ni Dawa (true story)

Namaanisha baada ya kumfumania hakurudiana tena na mudi
Hapana kwa sasa ametulia mkuu akili imekomaa.
Na hata kama anachepuka Mimi mwenyewe siwezi acha samaki aliyenona kizembe japo tu tunaheshmiana sana ..

Katulia sasa
 
Wewe timiza wajibu wako kama mume , toa huduma nzuri kulingana na uwezo wako , show hakikisha unasimamia kucha kweli kweli , yani hata akikucheat yeye mwenyewe ajulize "nimefanya nn " .... But I'm afraid to say moyo kama wako sina kwa sasa , nikikufuma na wife chumbani lazima tufukuzane kidogo
 
Inaumiza kweli sio uongo
 
Mkuu itoshe tu kusema wewe ni mtu bora sana.
 
Binafsi Nitasamehe na kuvumilia mwanamke mchoyo,mchafu,mnafki,mbea n.k lakini sio MSALITI tena ambaye umemfumania live! Hata YUDA baada ya kusaliti hakusamehewa mpaka ikabidi ajinyonge.Hata Biblia inasema usimwache mwanamke isipokuwa kwa sababu ya UZINZI.
 
Kwa hiyo kaka saa hizi tope unajilia wewe[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…