Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Baada ya Waisraeli kupora na kuwafukuza Wapalestina kutoka kwenye makao yao wengi walikimbilia nchi ya Jordan. Jordan ni nchi ya wakazi wachache hivyo wakimbizi wakawa sehemu kubwa ya wakazi. Wakimbizi hawa wakawa wanaishambulia Israel kutoka Jordan huku wakimshinikiza Mfalme wa Jordan afanye mengi zaidi kusaidia harakati zao. Hata kuna kipindi walitaka kumpindua. Ndiyo sababu mojawapo iliyofanya Jordan wakatae kupelekewa wapalestina wa Gaza.
Wahutu waliofanya mauaji ya kimbari Rwanda walikimbilia Congo. Kitendo hicho kimechangia vurugu zilizoua wacongo zaidi ya 6m
Ulaya leo inachukua wakimbizi wengi kutoka Mashariki ya kati na Africa. Matokeo yake wanaifanya Ulaya ianze kukosa usalama.
Hata Wangoni walikuwa wakimbizi kutoka SA. Walivyokuja huku Afrika Mashariki na Kati waliua watu wengi sana kinyama.
Wakimbizi ni watu wa kudeal nao kwa makini sana.