Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavutia sana. Africa yetu nzuri aisee asikwambie mtu
Wangetuonyesha na ndani ya hizo nyumba palivyo. Pia watuonyeshe vyoo vilivyo. Mabafu nk.
Naseema kwa kinywaa, halaafu kwa kufikiri iii.nice people with warmy heart..
tanzania is unforgetable,much blessed soil.
tazama ramaniiii utaona nchi nzuriii,
yenye mito na mabonfe mengi ya nafakaaaa!
embu malizia hapo
Nilitaka kushangaa trako zuri hivo liwe kijijin bado?Hawa siyo watu wa kijijini halisi..ni picha ya kujiandaa na kupangiliwa .Kila kitu kimepangwa,kuanzia mavazi,wigi, mpaka namna walivyopozi
Hapo mpiga picha alichokikuta halisi ni hizo nyumba za matembe tu,vingine vyote ni settings tu
[emoji16][emoji16]Nilitaka kushangaa trako zuri hivo liwe kijijin bado?
Natamani kumwona aliyekuwa anamwaga maji upande wa mtungi
Andika kiswahili tunice people with warmy heart..
tanzania is unforgetable,much blessed soil.
tazama ramaniiii utaona nchi nzuriii,
yenye mito na mabonfe mengi ya nafakaaaa!
embu malizia hapo