Somewhere in Tanzania you will meet these beautiful people

Hawa siyo watu wa kijijini halisi..ni picha ya kujiandaa na kupangiliwa .Kila kitu kimepangwa,kuanzia mavazi,wigi, mpaka namna walivyopozi

Hapo mpiga picha alichokikuta halisi ni hizo nyumba za matembe tu,vingine vyote ni settings tu
 
nice people with warmy heart..
tanzania is unforgetable,much blessed soil.
tazama ramaniiii utaona nchi nzuriii,
yenye mito na mabonfe mengi ya nafakaaaa!

embu malizia hapo
Naseema kwa kinywaa, halaafu kwa kufikiri iii.
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaa....
....... Endeleza
 
Hawa siyo watu wa kijijini halisi..ni picha ya kujiandaa na kupangiliwa .Kila kitu kimepangwa,kuanzia mavazi,wigi, mpaka namna walivyopozi

Hapo mpiga picha alichokikuta halisi ni hizo nyumba za matembe tu,vingine vyote ni settings tu
Nilitaka kushangaa trako zuri hivo liwe kijijin bado?
 
nice people with warmy heart..
tanzania is unforgetable,much blessed soil.
tazama ramaniiii utaona nchi nzuriii,
yenye mito na mabonfe mengi ya nafakaaaa!

embu malizia hapo
Andika kiswahili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…