Most of us hapa tumepitia some form of formal education. So kama mada inavyosema somo gani lilikuwa rahisi kwako shuleni, iwe primary, secondary au chuo...
Fizikia na Baiolojia yaani maji tu, nakumbuka pale Mazengo camp dogo mmoja Komba wa PGM alikuwa anashangaa Mimi wa PCB nilivyokuwa naikaba physics kuwazidi wao