Somo kwa mjasiriamali mchanga na wa kati. Hatau ya 1

Somo kwa mjasiriamali mchanga na wa kati. Hatau ya 1

Joined
May 24, 2012
Posts
84
Reaction score
33
Ndugu dhangu nimeona tushirikiane pamoja mkate huu kwa wale wenye kutafuta nini wafanye wanapotaka kuwa wajathiriamali, hidhi ni chache tu na jamvi likiruhuthu nitawaletea masomo haya kwa kina kupitia hapa na pale nitakophitajika kwani thioni thababu ya kukaa kimya na ujudhi nilionao wakati kumbe wengine wanauhitaji.Kwa kuandhia tu kumbuka kuwa hivyo vilivyokudhunguka hapo ulipo vyawedha kutumika kama mtaji wako. Fuatilia kwa makini thana nitakapoandha kufafanua moja juu lingine katika muhtathari wa mambo haya yafuatayo; ongodhana na mimi………..Uone utawedhaje kufanikiwa..



  • Ubunifu (andaa mpango wa biashara yako)
  • kujituma
  • fanya kadhi mwenyewe(uthiajiri mtu kwandha)
  • tundha mahethabu vidhuri
  • uvumilivu
  • fanya kazi kwa muda mrefu
  • kubali hathara penye faida
  • ujathiri(uthiogope)
  • kubali changammoto(uthidharau)
  • pigania kuongedha mtaji inapobidi
  • heshimu wateja wako
  • tanua soko lako
  • fanya tathmini ya biashara yako kila wakati na ukibaini maendeleo chanya endelea nayo, kama ni hathi andha kufikiri upya juu ya mpango wako na uendeledhaji wake.
“KAMA HUUELEWI UKIMYA WANGU HUWEZI KUELEWA MANENO YANGU”
 
Hiyo ndio mbinu kubwa ya kuanza biashara ila Watanzania wengi tunafikili mtaji ndio tataizo. Mimi nilianza biashara na kiasi cha tshs 800,000 lakini leo sikosi pesa ya kula japo si sana ila nina tofauti sana na anaelipwa laki tatu kwenye haya Mabenki yetu.
 
Back
Top Bottom