Harufu ya MTU kupigwa Pesa ya sadaka
Harufu ya MTU kupigwa Pesa ya sadaka
ASUBUH
chai yoyote ,maziwa na viaz/mhogo/maandaz chapati zilizopikwa kwa mafuta ya alizet
Au
Matunda tu karot moja,ndizi moja,tikiti kipande kimoja,parachichi kipande kimoja
Mchana
Wali mboga
Wali maharage
Unaweza kupika kwa mafuta yoyote sababu utaweka kidogo katika upikaj wake
Wali samaki
Wali nyama lazima vipikww kwa mafuta ya alizet na nyama ikaushww kutolewa mafuta yote kisha ipikwe au iliwe
Ugali mboga
Ugali maharage
Kama ugali nyama nyama ikaushwe na kupikwa kwa mafuta ya alizet
Usiku pia hivyohivyo chips mayai na vyakula vingine unaruhusiwa kula ila vipikwe kwa mafuta ya alizet kwani haya mafuta hayagandi mwilini na kuziba mishipa na misuli