pheysaljumaa
New Member
- Nov 16, 2022
- 3
- 7
Baazi ya watanzania hawajui haki zako za msingi hata kishelia ila Nina mapendekezo vipi somo la haki za kibinaadam Kwa hapa Tanzania lisiwe miongoni mwao mtaala Wa elimi kuanzia ngazi ya msingi mpaka vyuo Yani tufundishwe Shelia na haki ziwe NI vipindi darasani
Upvote
2