somo la hisabati ni kikwazo kweli?

Mtanganyika1

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
56
Reaction score
8
nackitka sana ni napo ona wanafunzi wana feli somo la hisabati ivi tatzo ni kitu gan? au la bda kijana wangu tu ndo ana matatzo / kama kuna mwalimu mzuri
 
walimu wanamgomo huu ni mwaka wa 15 sasa,mitaala kilaunapoamka inabadilishwa,unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…