Cheology JF-Expert Member Joined Jun 25, 2022 Posts 384 Reaction score 601 Jul 11, 2022 #1 Historia ya Dunia haijajificha kamwe na mwalimu mzuri ataamsha ari Kwa mwanafunzi wa historia. Ukimsikiliza huyu ndg Kwa makini na uka base katika historia ya Dunia Ile na hii mambo yanakwenda kubadilika na hata kuelekea kuumizana.
Historia ya Dunia haijajificha kamwe na mwalimu mzuri ataamsha ari Kwa mwanafunzi wa historia. Ukimsikiliza huyu ndg Kwa makini na uka base katika historia ya Dunia Ile na hii mambo yanakwenda kubadilika na hata kuelekea kuumizana.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 11, 2022 #2 Mitihani yote iondolewe
Cheology JF-Expert Member Joined Jun 25, 2022 Posts 384 Reaction score 601 Jan 10, 2024 Thread starter #3 Mtaala unabadilishwa somo mama linafutwa??
Cheology JF-Expert Member Joined Jun 25, 2022 Posts 384 Reaction score 601 Jan 10, 2024 Thread starter #4 Nashauri bora somo liongezeke kufutafuta sio sawa