Somo la historia liwe linatumika na kusomwa vizuri. Hakuna kukariri hapa

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601


Historia ya Dunia haijajificha kamwe na mwalimu mzuri ataamsha ari Kwa mwanafunzi wa historia.

Ukimsikiliza huyu ndg Kwa makini na uka base katika historia ya Dunia Ile na hii mambo yanakwenda kubadilika na hata kuelekea kuumizana.
 
Nashauri bora somo liongezeke kufutafuta sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…