Mada muhimu za kusom history advance ya kwanz ni 1.Origins and development of modern africa states ,kwnye hii mada kuna topic ndogondogo 8 mada ya pili 2. Africa in world history up to 1945 kweny hii topic kuna mada ndogondogo 6 , alafu topic ya tatu 3.Major issues in world history since 1945 kweny hii topic kuna mada ndogondogo 9 . Zote n muhimu kusom kwa sababu znategemean.
Mada zote ni muhimu mdau,maana hist ya advance imebadilika,pepa one ina maswali kumi na pepa tu ina maswali kumi.Sasa basi katika hayo maswali kumi kumi kwa kila pepa utapaswa kujibu maswali matano matano kwa kila pepa.Na kila pepa ina sections 3 yaan A,B na C,hapo sasa utapaswa kujibu maswali mawili section A,maswali mawili sectiob B na swali moja sectiob C,na section A ina topic zake,B ina zake ila C ina zake pia,wewe unapaswa kuwa competent topic zote.Msaada, Msaada, Msaada
Ni kuhusu mada gani ni muhimu kusoma kwenye somo la History Advance?
sylibus ya zaman hyoooo
History 1 kuna Pre colinial Africa sociaty 2 Africa and Eurpe in 15centty 3 Black pple in the new world 4 External forc and rise of Africa nationalian duh kwa ufup hisrory 1 kuna topic 7 history 2 nane usidanganywe
Mada muhimu za kusom history advance ya kwanz ni 1.Origins and development of modern africa states ,kwnye hii mada kuna topic ndogondogo 8 mada ya pili 2. Africa in world history up to 1945 kweny hii topic kuna mada ndogondogo 6 , alafu topic ya tatu 3.Major issues in world history since 1945 kweny hii topic kuna mada ndogondogo 9 . Zote n muhimu kusom kwa sababu znategemean
Acha kudanganya watu huo mtaala wa wap?
Mada muhimu za kusom history advance ya kwanz ni 1.Origins and development of modern africa states ,kwnye hii mada kuna topic ndogondogo 8 mada ya pili 2. Africa in world history up to 1945 kweny hii topic kuna mada ndogondogo 6 , alafu topic ya tatu 3.Major issues in world history since 1945 kweny hii topic kuna mada ndogondogo 9 . Zote n muhimu kusom kwa sababu znategemean.
Mada zote ni muhimu mdau,maana hist ya advance imebadilika,pepa one ina maswali kumi na pepa tu ina maswali kumi.Sasa basi katika hayo maswali kumi kumi kwa kila pepa utapaswa kujibu maswali matano matano kwa kila pepa.Na kila pepa ina sections 3 yaan A,B na C,hapo sasa utapaswa kujibu maswali mawili section A,maswali mawili sectiob B na swali moja sectiob C,na section A ina topic zake,B ina zake ila C ina zake pia,wewe unapaswa kuwa competent topic zote.
Ok nmewawlewen wasomi wangu...na kipi ni kitabu au mtunzi mzur wa history books kwa advnce
Kama unajua 2pe jibu bhana arch