Somo la Kilimo (Agriculture) lilifutwa na NECTA bila kuwajulisha Wadau na hakuna aliyelalamika!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Katiba ya anJamhuri ya muungano ibara ya 1(3) Inasomeka hivi:
Jamuhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaaa,isiyokuwa na dini,yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa:
NB:Chama cha CUF kilichoungana na CCM kule Zanzibar kinafuata mfumo wa Kiliberali unaotambua ndoa za Jinsia Moja
Nakumbuka Miaka ya Nyuma sisi tulio wa zamani kidogo tunakumbuka juu ya Mtazamo wa Nyerere aliye hubiri siasa ya ujamaa na kujitegemea ambapo alilenga kuwekeza katika Kilimo ambacho ni uti wa Mgongo wa Tanzania.

Nyerere alisema siasa ni Kilimo na Somo la Siasa liliwekewa Mkazo mkubwa na Shule ya Kibaha ilikuwa Maalumu kwa Combination ya(Chemestry, Biology & Agriculture ( CBA) na Wahitimu wote walijiunga na Chuo Kikuu SUA na wataalam wa Kilimo walipatikana.Kufauatia hili hadi leo unaweza kumuona Kikwete akibaki na mtazamo huo wa kusema KILIMO KWANZA huku akitofautiana na Lowassa .

Wakati hayo yakijili NECTA walifuta Somo la Kilimo wakati Nyerere yupo hai na CCM bado wana amini katika Kilimo Kwanza na hakuna aliyelalamika!!!

Mimi nimesituka sana baada ya kusikia kuwa Waislamu ambao wengi ni CCM wapo Diamond Jublee wanajadili Sababu za NECTA kufuta somo la Islamic lakini hawajadili NECTA kufuta somo la Kilimo ambalo ni Sera ya Mwenyekiti wa Chama!!!
 
Hebutoa upumbav wako hapa nani amekwambia kuwa necta wana mamlaka ya kufuta somo? Wewe n wale wale wa ziro na hata matokeo yalipobadilshwa naamini umepata Ziro hujui uliza uclete mambo ya facebok huku mbulula wewe
 
Hebutoa upumbav wako hapa nani amekwambia kuwa necta wana mamlaka ya kufuta somo? Wewe n wale wale wa ziro na hata matokeo yalipobadilshwa naamini umepata Ziro hujui uliza uclete mambo ya facebok huku mbulula wewe

Wewe unapingana na unachokiamini mwenyewe (Personal conflict) .Upo Diamond Jublee unalalamika kuwa NECTA wamefuta somo la Islamic bila kukujulisha wewe na hapa unatukana kwamba NECTA hawana ubavu wa kufuta Somo.
Mimi nakupa data za Nyuma lakini umebaki unatukana wala hujui unayemtukana: Ni bora ungejua unayemtukana na unachotukana ingekusaidia mwelekeo .
Ijapo sikufahamu lakini Jf wanakufahamu kwa kupima mchango wako na hekima yako ambayo haina tofauti na Serukamba!!!
 

wewe ndo selukamba nachotaka kukujulisha n kwamba Necta kaz yao n ku2nga na kusimaia masuala ya mitihani tu bwana mdogo kazi ya kufuta au kuongeza somo ni ya wizara yenyewe sasa kama wewe na wale waliokaa jubilee wanafkri necta ndo wamefuta hayo masomo mjue cvyo mbona huelewi bwana mdogo??
 

NECTA inasimamia na kutuka mitihani halafu wizara inafuta mitihani ya Masomo :
Sasa kama uelewa wako ni huu kwa nini Waislamu wanashambulia NECT na Ndarichako ktk Suala hili badala ya Kawambwa ambayen ni muislamu mwenzao??
Thick twice!!!
NECTA hawatungi mitihani : Mitihani inatungwa na walimu wa masomo husika!!
Hapa ina maana wanaotunga mtihani wa Islamic ni Waislamu wenyewe na baada ya hapo NECTA wanateua mtu huyohuyo aliyetunga mtihani kwenda marking!!!
Sasa kama wamesahisha vibaya mtihani wa Islamic ujue ni waislamu wenzako!!!
 

mimi co muislam sawa bwana mdogo?? Alafu mbona hauelewi? Nimekwambia kaz ya necta ni kusimamia na kuratibu maswala ya mitihani ikiwa n pamoja na kuamua ni mtihan upi utumike na ni nani autunge? Na c kwel kwamba n walimu peke yao wanaotunga mitihani hata maprofesa, wanafunz wa vyuo vikuu pamoja na wadau wengne wa elimu! Hata wewe unaweza kutunga mtihan wa taifa lakini necta ndo wana kaz ya kuupitisha au laa! Tatizo lako upo kiushabiki na kidini zaidi tuu. Kumbuka mimi co muisilam na wala cfungaman na upande wowote na kwa taarifa 2 Wizara ya Elimu imeshatoa tangazo kwamba haijafuta masomo wala mitihan ya dini ila wapo katika mchakato wa kuirekebisha zaidi. Sasa wewe unaesema waislam wamekaa diamond jublee wanadiscus masuala la mitihan una uhakika gan?

Note. NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK!! Alafu bwana mdogo acha ushabik wa kidin n mbaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…