Somo la kilimo ktk mtaala wa Tanzania

Somo la kilimo ktk mtaala wa Tanzania

omukulu

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
50
Reaction score
6
Kwa kuwa kilimo ndo sekta inayotoa ajira nying hapa nchin, je kuna umuhimu wa wizara na taasisi za elimu kutengeneza mtaara ambao utatumika kuanzia shule za msing ili watanzania waweze kupata ujuz wa kutosha ktk kilimo na kujiajil punde wamalizapo masomo na kuepusha kutegemea kuajiliwa maofisini na upungufu wa ajila?
 
Back
Top Bottom