Somo la leo linahusu kufanya sex wakati wa ujauzito

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Darasa la leo tarehe 25/03/2016 kama kawaida linawahusu hasa hasa wale wajawazito na wanaotaraijia kua wajawazito
MADA NI:FAIDA NA HASARA ZA KUFANYA TENDO LA NDOA WAKATI WA UJAUZITO
WAKATI GANI HUTAKIWI KABISA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
STYLE GANI ZINASHAURIWA KITAALAMU ZITUMIKE WAKATI WA UJAUZITO.
KWA HAYO NA MENGI TUKUTANE KATIKA DARASA SA 3:15 USIKU
JINSI YA KUHUDHURIA:
UTALIPIA ADA YA SOMO KAMA KAWAIDA NI SHILING 2000 KWA NJIA YA MPESA No 0759212578 TIGO PESA 0672704033
IKISHAFIKIA MUDA WA SOMOSAA 3:15 USIKU USITUME PESA YAKO MANA TUTAKUA TUMEANZA SOMO TAYARI
UKISHATUMA NITUMIE ILE MESAGE YA MUAMALA KATIKA WATS UP NAMBA 0759212578 BAADA YA HAPO UTAUNGANISHWA MOJA KWA MOJA KATIKA SOMO NA MTAALAMU ATAKUEPO KUZUNGUMZIA MADA HUSIKA ANDAA MASWALI YA KUTOSHA ****
 
Aisee [emoji1]
 
Sasa hyo hata nikiwauliza wazee au hata daktar si naambiwa tuuu .....hahaaaha eti 2000 duuu
 
Ukimaliza hilo weka na darasa la wapiga nyeto kwa wanaume
-Jinsi ya kupiga nyeto
-Style za nyeto
-XXX video nzuri kwajili ya nyeto
-Mkono( Left and right hand) mzuri wa nyeto
 
Njaa mbaya sana mkuu mishahara ya watumishi imeshatoka maana naona kama mapilimbi kwa ajili ya pasaka yameyumba hivi!!! kwa hiyo unajarib kuzichangachanga komaa mpaka kieleweke
 
Njaa mbaya sana mkuu mishahara ya watumishi imeshatoka maana naona kama mapilimbi kwa ajili ya pasaka yameyumba hivi!!! kwa hiyo unajarib kuzichangachanga komaa mpaka kieleweke
Ukiona hujapata mshahara mpaka Leo wewe ni mfanyakazi hewa
 
Hewa vp wakati nipo bhana ila huyu muanzisha uzi atakuwa ni hewa kweli
 
Huyu atakuwa ni yule DAKTARI wa Mtwara alietumbuliwa na Mama wa Kimakonde.
 
Mlete huyo mtaalamu wako tumfanyie assessment kwanza asijekua kanjanja

Ila hutompiga pesa mtu kizembe hivyo hayo mambo wapelekee instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…