Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Kipindi nasoma Pharmacy hili somo lilinitesa sana hadi nilipata Sapu (Supplementary).
Kwa hasira nikanunua hard copy ya Kitabu chake "Pharmaceutical calculations by Ansel 13th Edition" kwa sh. 50,000/=
Basi ilikuwa ni ku solve tu... "Humu tu...😂 Humu tu...😂"
Kwa sasa nikiwa nakiona kwenye kabati kinanikumbusha machungu niliopitia.
Kwa hasira pia nakiuza 10,000/= tu nipo Kigamboni.
Piga: 0759448927