Somo la Sayansi lafutwa Tanzania.

Somo la Sayansi lafutwa Tanzania.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Science has been cancelled because your Parents (and leaders) preffer to believe in MAGIC.

61071_474868609215771_548737065_n.jpg
attachment.php

tiba.jpg
 
Is those Lukuvi, Nyerere, Mkono et el with KIKOMBE CHA BABU they are Jocking?

Is Zitto Warning that "Hata panya wa nyumbani kwenu hawatabaki" was a joke?

Is Albinos death in Tanzania, known world wide is a joke?

Majibu rahisi kwenye swali gumu.
Get serious.
 
Ah ah dah umenikumbusha kale kamakala ka cnn kuwa tunaongoz kwa uchawi dunian...kuanzia mauaji albino. 2.kupiga nondo 3. kuua wenye vipara 4.kukata viungo 5.kuchuna ngozi 6. na hii ya leo kukata shingo...wapi kwengine duniani ushasikia haya
 
Hahahaa, ni kweli kabisa na utashangaa wengine wanakuja na kubisha wakati ukweli ndiyo huo.
Ah ah dah umenikumbusha kale kamakala ka cnn kuwa tunaongoz kwa uchawi dunian...kuanzia mauaji albino. 2.kupiga nondo 3. kuua wenye vipara 4.kukata viungo 5.kuchuna ngozi 6. na hii ya leo kukata shingo...wapi kwengine duniani ushasikia haya
 
Malima, Kayanza Pinda, Kilanja Mkuu Jk, na wengine unaowaona wamevaa mipete ya ajabu ajabu unadhani ni coincidence?

Wasalaam,
Ndebile, P. O. Box. Private Bag, Mwashilalage, Kwimba- MWANZA.
 
Back
Top Bottom