Somo la Ufugaji wa Samaki toka Masamaki Zoo

Somo la Ufugaji wa Samaki toka Masamaki Zoo

thegreatchief

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
62
Reaction score
68


Je, unapenda kufuga samaki?

Basi, Masamaki zoo wanakuletea makala ambazo zitakupa mwanga wa pakuanzia ili uweze kuanza kufuga samaki kama wewe ni mpenzi wa ufugaji wa samaki.

Makala hizo zitakuja kwa mwendeleo wa matoleo matano kupitia account ya youtube kwa jina la MASAMAKI ZOO. Pia nimeunganisha link ya makala ya kwanza ili uweze kujigunza

Masamaki zoo inapatikana mkoani Mbeya. Kwa wale ambao wangependa kujionea namna ya unadaaji wa mabwawa na namna nzuri ya kufuga samaki, basi endelea kufuatilia makala kupitia account tajwa ya youtube.

Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom