Somo la Ujamaa na Mwalimu Nyerere (Baba wa Taifa la Tanzania)

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Inapatikana pia katika
Kitabu cha UJAMAA; Julius K. Nyerere (1970);
Oxford University Press,
Dar es Salaam


Ujamaa, kama demokrasi, ni moyo katika nchi ya Ujamaa kama unataka kuhakikisha kwamba watu wanajali shida za watu wengine, linalotakiwa ni mawazo ya Kijamaa, wala siyo kufuatisha tu utaratibu maalum wa siasa. Shabaha ya kitabu hiki ni kufikiria tabia hiyo; wala siyo kueleza utaratibu unaotakiwa kuendesha Ujamaa katika mataifa ya kisasa.

Soma zaidi kwenye pdf file nililoambatanisha:
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…