Somo la unyenyekevu

Mtu mmoja muadilifu katikati ya panya road wengi inasaidia nini
Kwenye maigizo CCM wapo vizuri
 
Mwisho wa siku tunapata viongozi wajinga wajinga kisa ni wanyenyekevu hata kama kichwa kimejaa maji!
Nyie watu wajinga ndio hamjui hata namna ya kuishi , pindi fweza ya ghafla ikikuangukia au cheo ikubwa unapokipata.
Hamuishi kujikweza na kudharau wengine walio chini au juu yako.
 
Ccm chama chetu kimeshindwa kujinyenyekeza Kwa wananchi Kwa kuwachukulia hatua wezi,wabadhirifu wa fedha za umma ndio tulete maigizo Kwa kupigiana magoti Bungeni!!?

Tuache ujinga wakuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…