Somo la usafi lifundishwe

butogwa

Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
33
Reaction score
6
Nakelwa sana na baadhi ya wanafunzi na wanavyuo kushindwa kutunza usafi ktk taasisi hizo. Kwa mfano: utumiaji wa vyoo ktk hali ya usafi,uharibifu wa mabweni, hostels,madarasa na samani zilizomo. Na imani wakielimishwa tutaokoa afya zao na watastaarabika.
 
sisi tuliofundishwa Sayansi-kimu na Maarifa ya Nyumbani mambo yetu safi tu,tunafahamu kubrashi viatu,kutengeneza mswaki wa mti,kuondoa madoa kwenye nguo kwa kutumia limao,kushona kwa mikono n.k. Big up Mwl.Christina!
 
nakubalina na wewe asilimia mia mbili na hamsini! block nayokaa! especially wing yetu ni balaa tupu! kuna wanavyuo walevi ambao wmwgeuza masinki ya kuswakia kuwa spesho for kukojolea! aisee inakera! wengine mabafu wamegeuza vyoo! mimi naona itabidi kozi ya usafi ianzishwe vyuoni aiseeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…