central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Ngoja tusubiri maoni mengine. simpo tu😄Alichomaanisha ni hiko hiko, nami ndivyo nilivyomuelewa ya kuwa Hashim Dogo anastahili ufalme kwa yale aliyoyafanya kwenye game
Sasa jiulize mwenyewe kati ya hao wawili nani ana impact katika mziki wetu
Jibu unalo
Kuna muda unajiuliza hivi ni kufosi vina au ni mtazamo tu??
Kwa kuwa ni mtazamo na kila mtu anao wake, basi yupo sahihi kwa upande wake.
Bange inaingiaje hapo mkuu? turudi kwenye mada😄Wote wavuta bangi hao..usiwachukulie serious sana!
Mi nimemnukuu Songa mzee😄Usimchukulie poa afande sele..ni mtaalamu sana
Oooh shukrani mdauSonga yuko sahihi
Lile shindano la mfalme wa rymes ambalo afande sele alishinda, Waandaji walikosea kulipa jina
Ukiangalia kipindi kile wimbo wa darubini kali wa afande sele ndo ulikua hit song
Lakini tukija kwenye uhalisia kama walioandaa shindano walilenga kutafuta mkali wa rymes ....Hashim dogo mwendawazimu ni fundi sana wa kupanga vina ila ni undeground MC hakupata airtime main stream
Sidhani kama Hashim Dogo alikua Kwanza Unit [emoji625] [emoji625]Hashim Dogo sijawahi kusikia Ngoma yake hata moja. Japo najua alikua member wa Kwanza unit na Ngoma pekee ya Kwanza unit nayoijua ni Ile "msafiri" sasa ni ngumu kusema hashimu dogo kwenye upande wa lyrics alikua mnoma kiasi gani Hadi bwana songa amtunuku ufalme wa rymes... Anyway ngoja wakongwe zaidi waje
Oya heshimu starehe watu 🤣Wote wavuta bangi hao..usiwachukulie serious sana!
Hebu weka kazi yake mojawapo tumskieSidhani kama Hashim Dogo alikua Kwanza Unit [emoji625] [emoji625]