boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Ni graduate wa UDSM computer scienceStereo ndio amesoma ardhi,sidhani kama One Incredible ni graduate
Wewe ni Bahasha kwa nyuma, Hip Hop ni Mombasa kwa mbele ukija kwetu umetuna utashtuka umeshatafunwa bila kelele.MC wa shughuli gani, anamshinda Taji Liundi au mbwembwe tu
Nicki II ni Emcee wa hip Hop ?Halafu songa sio bora bali anaweza wapo bora ambao ukisikiliza huchokii kama nicki wa pili
Duh...
Mkuu...
SONGA VS NIKKI WA PILI..!?
Huyu Nikki wa pili wa WEUSI au..!?
Hakuna MWEUSI wa kumfananisha na S.O.N.G.A...
Acha kumvunjia heshima SONGA bhana...
Lakini sawa,siwezi jua umetumia vigezo gani mwenzetu..!
EmceeHivi ni mc emcee
Ni graduate wa UDSM computer science
Nipo Boooth...natema flow kama tupa, mashairi yana rukaruka kama kuku mwenye mzuka, kapuku ukilaza buti tunakunoa kama tupa na kamwe siishiwi chenji kama biashara ya sambusa.One de incredible namwelewa san huyu mnyama
one the incridible pia ni graduate udsm b.of math's
Ahahaaaaah...Nipo Boooth...natema flow kama tupa, mashairi yana rukaruka kama kuku mwenye mzuka, kapuku ukilaza buti tunakunoa kama tupa na kamwe siishiwi chenji kama biashara ya sambusa.
Mi ndio INCREDIBLE MOKO YA MIUJIZA na kwa ya kiume Vocal ka ya Jesus, madha kanifunza nisiwe mchoyo wa maarifa, nibakie msiri asiye na dhambi kama choo cha KANISA....aaaa
.....mi koboko we kibisa, mi ni soko wewe ni hisa, shika namba niite MOko chagua mbili mpaka tisa.....
Mautundu yasiyo jificha kama mtutu wa jambazi, nipo huku toka yankee dungu mpaka panki nina mudu kila mdundo toka dufu mpaka dansi
...nitafute kama hunioni basi jua nipo juu naning'ing'inia kama tone la kamasi
Tamaduni MUSIC
[emoji767] Mchwa Shababi
Nipo Boooth...natema flow kama tupa, mashairi yana rukaruka kama kuku mwenye mzuka, kapuku ukilaza buti tunakunoa kama tupa na kamwe siishiwi chenji kama biashara ya sambusa.
Mi ndio INCREDIBLE MOKO YA MIUJIZA na kwa ya kiume Vocal ka ya Jesus, madha kanifunza nisiwe mchoyo wa maarifa, nibakie msiri asiye na dhambi kama choo cha KANISA....aaaa
.....mi koboko we kibisa, mi ni soko wewe ni hisa, shika namba niite MOko chagua mbili mpaka tisa.....
Mautundu yasiyo jificha kama mtutu wa jambazi, nipo huku toka yankee dungu mpaka panki nina mudu kila mdundo toka dufu mpaka dansi
...nitafute kama hunioni basi jua nipo juu naning'ing'inia kama tone la kamasi
Tamaduni MUSIC
[emoji767] Mchwa Shababi
Sasa wewe ndo unazingua...Punguzeni kuwapa watu sifa ambazo hawana.One Incredible (Harry Kaale) alifeli form 4 then aje ku-graduate UDSM tena Bachelor of Mathematics ?
Nafikiri kuna kipindi alikuwa anasoma UCC,
ukiona hauelewi ujue shughuli haikihusuMC wa shughuli gani, anamshinda Taji Liundi au mbwembwe tu
Ndio .Sasa wewe ndo unazingua...
One the Incredible anaitwa HARRY KAALE...?
Kapekue tena mafaili yako vizuri mkuu..!
kwani bado yu hai?Dogo hashimu Hafanyi mziki siku hizi....Swala tano sana
mtafute na mtoto mmoja mzuri sana wa sura na maandishi,nae yupo tamaduni anaitwa STOSHIHaujakosea!tamaduni music ndio hazina yangu ya hip hop!
Basi me ndio nitakua nimechanganya Mafaili hapa...Ndio .
Ndo jina lake LA ubatizo
Sasa wewe ndo unazingua...
One the Incredible anaitwa HARRY KAALE...?
Kapekue tena mafaili yako vizuri mkuu..!
Sorry mkuu...Punguzeni kuwapa watu sifa ambazo hawana.One Incredible (Harry Kaale) alifeli form 4 then aje ku-graduate UDSM tena Bachelor of Mathematics ?
Nafikiri kuna kipindi alikuwa anasoma UCC,
ROMA ndio graduate wa UDSM Computer Science
Samahani mkuu...Tuambie anaitwa nani na miaka aliyosoma hapo UDSM ?
FYI
Nawajua vizuri sana Stereo,Mbishi,Incredible,Zaidi na producer wao Duke