Sijui kwanini bado tunalazimisha hii sheria ya makampuni mengine lazima yauzie umeme Tanesco then Tanesco ndio watuuzie sisi? mambo ya ajabu sana haya na hayasaidii chochote katika maendeleo ya nchi ...kule Mtwara kuna kampuni ina uwezo wa kuzalisha almost 500MW lakini hawawezi kufanya biashara maana lazima wawauzie Tanesco,cha ajabu Tanesco zaidi 50% ya umeme wananunua kutoka makampuni binafsi huku ya kwao ikiendelea kuwa burden tuu kwa walipa kodi,matatizo ya umeme na mgawo ni TANESCO na sheria zilizopo bila kuondoa monopoly na kubadilisha sheria mgawo ni order of the day... forever!!