Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
HANA MADHARA HUYO WALA USHAWISHI ALIKUA NI MZIGO USIOBEBEKAAliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.
Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069
Tukikuambia Juma Duni Haji ana kadi ya Chadema utakubali ?Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.
Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069
Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.
Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069
Chadomo ni chama cha waganga njaaAliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.
Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069
Tundu Lisu na Lema walijiunga chadema wakitokea NCCR. Siamini kuwa walikusudia kuua upinzani.Huu ndiyo ujinga wenu ACT ndiyo maana mnaitwa Madalali wa kisiasa,yani nyie mnajivunia kabisa kuua Wapinzani wenzenu?Kwani nyie maadui zenu ni CHADEMA au CCM?
Hiyo sio habari hata kidogo! Mtu anajitoa kwenye chama cha siasa CDM, anajiunga kwenye saccos ACT ya dalali wa kisiasa ZZK, huyo ni kwa maslahi ya kiuchumi tu hajahama CDM, anatafuta mkopo mdogo tu atarudi![emoji2]Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.
Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069