songea boys special thread

Hii si ndio zile shule ambazo hata mwenye iii.25 anasoma okay endeleeni
 
Nakumbuka tulivyokuwa tunawazengea Tamsala
 
Mayao je mnayakumbuka? Na masuala ya ulokono je?
 
Dah Box 2 "Songea shule ya sekondari ni shule ya wavulana twaipenda sna"! Nimekumbuka maneno hayo machache kwny wimbo wa shule! Vp mayao na watoto wa Mzee Kipande wapo? Hizo ndo zetu 1987/89!
 
dah nakumbuka hiyo ishu ya kuchomewa simu lakn chanzo kikubwa na dogo ponela na mtamike chini ya undertaker ' sweke ' hatar sn..
 
Dah namkumbuka marehem MTAMIKE, alisha wahi kunipa adhabu ya kufagia barabara,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…