Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

ACHA kukaririshwa! ungetembelea Mkuzo usingediriki kusema mji haujatanuka.
 
Tatizo hulijui? Shida alikiwa Komba
 
ruvuma iko vizuli kulingnisha na mikoa kama kagera mara singida tabora shinyanga mayala
 
Ubinafsi umejaa kwenye haka kamji,asilimia kubwa ya watu wenye maendeleo ni wageni na sio wazawa.ni wavivu kwa kila kitu kuanzia kusoma mpaka kufanya kazi,ma bar ya kiloko ndio yamejazana,wananchi wake wengi ni wambea sana na wamekalia majungu, Ukimwi umejaa huko ukijichanganya tuu umeisha,watoto wadogo wanazaa watoto. Hata kazi kupata huko ni kwa mbinde, jaribu kufuatilia matangazo ya kazi hawatangazagi nafasi za kazi kwenye haka ka mkoa mpaka unashangaa hawahitaji wafanyakazi? Washamba,wachafu wanawake zao wachafu kwa kujichubua mikorogo ya bei rahisi,kuloga na uchawi sasa,mme wako akienda kufanya kazi huko uhesabu ameisha huyo
 
Makaa ya mawe na dhahabu ya kijani bora nini?
 
Sasa watu kama Mhagama unatarajia mabadiliko gani? Ngoja wafurahie siasa za nchi hii.
 
Ukiwaangalia wangoni ni Kama wamakonde, sema wangoni kidoogo wamesoma lkn roho mbaya, kupenda ngono na ubinafsi ngoma droo.
 
For four years! Nimeishi Songea boys secondary School aka Box 2, [emoji137][emoji137] what a great place! Wangoni penyewe hapa,hamna shida, kwani kusemaje penyewe hapo Bwana Wewe? Enzi hizo tunduru road ilikua vumbi tupu, Lakini ndiko tulikochukulia ujasiri wa kupasogelea patakatifu pa Tanganyika, [emoji1241]
 
Haya wenye yao
 
Nilipoona hakuna picha tu, nimeondoka
 
Samahi mkuu vip watu wa huko wanakubali kuuza mashamba mfano hekari moja inaweza kuwa shilingi ngapi?
 
Sio songea tu mleta mada maeneo mengi hayaendelei kwakua na wazawa wasio na maono ya mbali unakuta wilaya wakaazi wa wilaya hio wanachangamshwa na watu wanaokuja kufanya kazi kwenye maofisi ya serikali au binafsi na taasisi mbalimbali.

Kwa mpango huo huwezi ona maendeleo unakuta wenye pesa wanawekeza sehemu nyingine kabisaa nyumbani wanapasahau maeneo mengine wanapelekwa viongozi wachapa kazi kweli kweli lakini hawatoboi maana wakazi na wenyeji wa eneo husika hawayahitaji maemdeleo wnaona watapokonywa maeneo yao
 
Makaa ya mawe yameongeza sana kipato cha mkoa ijapokuwa wananchi hawaoni hizo pesa
 
Samahi mkuu vip watu wa huko wanakubali kuuza mashamba mfano hekari moja inaweza kuwa shilingi ngapi?
Mashamba yapo na yanauzwa sasa bei inategemea na location from center au main road. Ila bei ni kuanzia 100,000/= hadi 300,000/= kwa hekari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…