[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahNamtumbo sio tu haina maendeleo ya vitu, hadi mademu hakuna, ni wilaya ya ajabu sana hakuna wasichana/ mabinti ,kuna wamama na wazee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnoooo.Eti mwenzangu wanaumia,kama vile maghorofa ya kariakoo wanamiriki wao,loooooh[emoji23]
Kumbe wanaishi buza[emoji1787]
Watuacheeeeeee na Songea yetuu, tumeipenda wenyewe wenyeji.2025 songea na wilaya zote huku
Kura zote kwa ccm[emoji123],
Muendelee kukandamizwa huko mikoani kwenu,
Tunahakikisha unga mtanunua kilo sh,5000 na maharage kilo sh,8000
Hatunaga stress,tumeridhika na songea yetu.
Msamala ushuani huku, weuweeeeeeeh!!!!Songea Mjini ukitaka upate refreshment utembee mida ya jioni uwe na usafiri. Kama ulifika Bombambili ukakaa Hapo Hapo utasema mji mbaya. Piga Route kutoka Shule ya Tanga,Msamala,Bombambili,Matarawe,Mjini,SeedFarm, Ruhuwiko
Sasa hizo Shule 2 Boys na girls zimekarabatiwa ziko vizureeee.bombambili dah homso tamsala duh acheni tu.
nina historia na huo mkoa (wilaya)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani [emoji23][emoji23][emoji23] ndio unawapondea wifi zangu hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahOhooo WiFi tena, Kaka yako si atakatika kiuno sana
Mwambie awe makini na watu wa Songea na Mtwara, kiuno wanazungusha watu wa huko kama feni nasikia
Kiuno hakina spea Madukani awe makini
Nilikosea sikuwauliza wenyejiWewe umepotea Lindi amazing hujapajulia tu sehemu za Bata zimetengwa kabisa. Na vybez mziki ruksa mpaka saa10 alfajiri, Mji wa starehe ndio huo, Shimo la Africa Hilo, Nenda contena la sababa ukapate jeans mtumba Kali grade nzuri opposite na kabla kidogo ya soko la mboga mboga
Kabisa huyu ni mpumbavuPumbavu
Tulia mzee ukiambiwaga ukweli unakaza Hilo cranial cavity!!Pumbavu
Usipokuelewa wewe unadhani wote hawajielewi?.Tulia mzee ukiambiwaga ukweli unakaza Hilo cranial cavity!!
Kusini HAKUELEWEKI over
Na bado unakuta kuanzia vitoto hadi watu wazima mnaavitambi na kunenepeana kama manguruwe kutembea hamuwezi 😁😁..Kwetu burudani[emoji23]
Iringa ina kipi cha kufanana na Mbeya?Na iringa,
Yote hiyo ni kusini,Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji.
Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia majengo marefu hapa Songea mjini?
Huu mji kwa maendeleo ya vitu naona ni negative growth hasa infrastructure, zaidi ya miaka 18 niliyoondoka huku no changes!
Boda boda zipo nyingi sana hapa mjini tofauti na wakati huo nilipoondoka, sijajua watu wanatembea kwa umakini kiasi gani maana boda boda na watu ni kama idadi sawa au ngoma droo hapa mjini.
Soko la majengo kule zamani tuliita mitumbani hakuna mabadiliko makubwa sana zaidi ya bara bara za hapa na pale lakini wakati huo kulikuwa na lami yenye mashimo mashimo.
Mjini hakuna barabara za maana zaidi ya barabara itokayo bombambili mpaka Mbinga huko. Mji haujapanuka kabisa, Unatembea nusu saa tu umemaliza, hakuna sehemu za kuvutia na sehemu za mitoko zaidi ya bar.
Songea ukisema leo natoka ni kwenda bar, hakuna amsha amsha niliyoiona hapa Songea mjini.
Wazoefu wa miji, huu mji una tatizo gani?
Nilipita Njombe imebadilika sana sana tofauti na Njombe ile ya miaka 18 iliyopita. Hii ni Songea mjini lakini ni kama upo kwenye wilaya za ndani ndani huko za baadhi ya mikoa.
Soko la hapa Songea Mjini hata silielewi vizuri ni kasoko kadogo sana na kamejibana sana, kwanini wasiliamishe soko hilo?!
Kulikuwa na kampeni za kujenga masoko na stand wakati wa JPM, sijajua kwanini waliamua kuacha soko la mtindo huu.
Kuna stand mpya lakini haivutii kabisa kabisa zaidi ya kuweka lami, hakuna jengo kubwa la maana la abiria kwenye stand mpya.
Wamejenga stand mpya mbele ya msamala ukitokea mjini lakini bado wamefeli vibaya sana ni kama kituo cha daladala hivi.
Bar zipo zipo sana labda ndio sehemu ya starehe lakini hazina quality inayotakiwa kwa watu wala bata na matanuzi.
Mikoa hii ya kusini kuna tatizo kama hata stand mikoa walipata nao pesa za mgao wamejenga stand nzuri na za kisasa sana.
Kwa hiyo Songea hata ukapeleka mabilioni ya pesa za Serikali bado huu mji unalala usingizi tu, Kwa miaka 18 niliyotoka nimesikitika sana.
Jumatatu naelekea Lindi, nipo mapumzikoni hivyo natembea tembea kwenye hii mikoa nilianzia safari Dodoma.
Ushuani CD FarmMsamala ushuani huku, weuweeeeeeeh!!!!
Uzuri wa humu hatujuani, hivyo unaweza kuandika chochote, ukamsha mtu hata kama humfahamu, eti sina Exposure una evidence gani huku ukiwa hunifahamu.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka, yeye hana exposure alafu anakosoa
Kinyume cha Ushamba ni Usomi au Ujanja naomba kujua hapa, maana huwa nasikia watu wakisema, wajanja wa mjini hao. lakini wanaosifiwa ujanja siyo kwamba ni msomi.Sasa ushasema wasomi..halafu wasomi hao washamba[emoji23]
Mbona unajichanganya mwenyew...
Mtu aliyesoma si atakuwa anajua vitu vingi kuliko hasiye...sasa atakuwaje mshamba..
Una chuki zako wala huna hoja
Mbeya kuna kipi hasa zaidi ya vibajaji??Iringa ina kipi cha kufanana na Mbeya?
TuliaNa bado unakuta kuanzia vitoto hadi watu wazima mnaavitambi na kunenepeana kama manguruwe kutembea hamuwezi [emoji16][emoji16]..
Hovyo kabisa nyie ndio Ummy anasema mumefilisi Bima ya Afya na magonjwa yenu ya ulafi.