Songea teaching college.

Duniaze

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
148
Reaction score
23
Kwa wale waliomaliza songea na waliochaguliwa hapo,naomba tujulishane habari za kiundani zaidi kuhusu mazingira ya chuo.
 
Acha Uoga,we Unafuata Elimu Au Mazingira?in Short Pako Pouwa Xana,ila Km Diploma Kuwa Makin Coz Wame Supp 189, ila kwa grade A madogo wamefaulu wote,
 
Kwanza kabla hatujakupa habari za ndani kuhusu hicho chuo badilisha heading isomeke SONGEA TEACHERS' TRAINING COLLEGE (SONGEA TTC). Acha akina Mulugo wabaki wenyewe huko!
 
Kwanza kabla hatujakupa habari za ndani kuhusu hicho chuo badilisha heading isomeke SONGEA TEACHERS' TRAINING COLLEGE (SONGEA TTC). Acha akina Mulugo wabaki wenyewe huko!

pamoja kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…