Elections 2010 Songea wamvisha mbwa fulana ya picha ya JK!

Elections 2010 Songea wamvisha mbwa fulana ya picha ya JK!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Wanauliza miaka yote 50 walikua wapi kuzitoa hizo ahadi?
 
Safi sana, mwaka huu hatudanganyiki kwa chochote!!!!
 
Nawashauri watani zango wa Bombi, Nyumbi hii, Wasiishie hapo. watunze kadi zao wakapige kura. Ndiyo ukombozi wao. Msiklizeni Dr. Slaa live CLOUDS FM.
 
Hawa jamaa wa songea siwaamini hata kidogo, ni usanii tu!
 
hii ilitakiwa ifanyike kwa kila jimbo kukomesha huu upuuzi wa fulana. eti ndio kivutio cha kuchagua mtu!!. Fulana ni dalili za rushwa.
 
Mmenikumbusha yule Mbwa Immigration (RIP) wa Sumbawanga,Mbwa aliyevishwa T-shirt Tarime (RIP) Sijui kama huyu wa Songea bado yupo hai...
 
Back
Top Bottom