beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Michael Aroni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata Daraja la IV la alama 26 katika matokeo ya Kidato cha 4 yalitolewa jana
Michael amehitimu Shule ya Sekondari St. Agrey na alitarajia kupata ufaulu wa Daraja la kwanza ila matarajio yake hayakutimia
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Dkt. Ahmed Ramadhan amesema Mgonjwa huyo amepatiwa matibabu na sasa anaendelea vizuri