Huyu nahisi alikuwa ni mrudiajiWatu wa mikoani mnasoma mkiwa na umri mkubwa Yani miaka 20 ndo anamaliza form four
Yawezekana maana miaka 20 niumri wa chuo kikuu huoHuyu nahisi alikuwa ni mrudiaji
Michael Aroni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata Daraja la IV la alama 26 katika matokeo ya Kidato cha 4 yalitolewa jana
Michael amehitimu Shule ya Sekondari St. Agrey na alitarajia kupata ufaulu wa Daraja la kwanza ila matarajio yake hayakutimia
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Dkt. Ahmed Ramadhan amesema Mgonjwa huyo amepatiwa matibabu na sasa anaendelea vizuri
Hee lakini hajajitendea haki kujipiga sumu angeweza,sijui ile inteligensia ya polisi ilikuwa wapi kumzuia asinywe sumuYawezekana maana miaka 20 niumri wa chuo kikuu huo
Akitoka hospitality nahisi atajinyonga tenaHakuwa na dalili za kujinyonga?
Jr[emoji769]
hapo ulianza la 1 na miaka 3 kama sitti mtemvu niniYawezekana maana miaka 20 niumri wa chuo kikuu huo
Acha kuandika pumba ukianza la kwanza na miaka 6 unamaliza la Saba na miaka12 unaanza form one na miaka 13 unamaliza form four na miaka16 form five unaanza na miaka 17 unamaliza form six na miaka 20hapo ulianza la 1 na miaka 3 kama sitti mtemvu nini
Hahaha! Hata mimi nilimaliza form four nikiwa na 20yrs miaka ya nyuma kdgoWatu wa mikoani mnasoma mkiwa na umri mkubwa Yani miaka 20 ndo anamaliza form four
HQWatu wa mikoani mnasoma mkiwa na umri mkubwa Yani miaka 20 ndo anamaliza form four
Watu wa mikoani mnasoma mkiwa na umri mkubwa Yani miaka 20 ndo anamaliza form four
kwani kuna nini hapo kilicho haribika kama muda bado anao wakutosha wa kupambania mafanikioHuyu nahisi alikuwa ni mrudiaji
Yawezekana maana miaka 20 niumri wa chuo kikuu huo