Songwe: Aliyehitimu Kidato cha nne anywa sumu kwa kupata ufaulu wa daraja la nne

Acha kuandika pumba ukianza la kwanza na miaka 6 unamaliza la Saba na miaka12 unaanza form one na miaka 13 unamaliza form four na miaka16 form five unaanza na miaka 17 unamaliza form six na miaka 20
nkikwambia huna akili utasema nakutukana, rejea bandiko nilillo ku quote ulisema miaka 20 unakua chuo. hapa unasema miaka 20 uko fm 6 hujielewi kifupi?

alafu familia nyingi mtoto huanza na miaka 7-9 hapo ujaweka kurudia na kufeli kifupi ww n bwege
 
KAMANDA wa huo mkoa hakutoa taadhari kuwa wata wapeleleza wote watakao jinyonga na kunywa sumu huyu kamanda aliona mbali sana
 
nkikwambia huna akili utasema nakutukana, rejea bandiko nilillo ku quote ulisema miaka 20 unakua chuo. hapa unasema miaka 20 uko fm 6 hujielewi kifupi?

alafu familia nyingi mtoto huanza na miaka 7-9 hapo ujaweka kurudia na kufeli kifupi ww n bwege
Wew hatakusoma hujasoma kumbe form six tunamalizaga mwezi wa tano chuo tunaanza mwezi wa kumi miaka hyo hyo ishirini unaingia chuo kikuu usipende kubisha hovyo Kama hujaelewa uwe unauliza
 
nkikwambia huna akili utasema nakutukana, rejea bandiko nilillo ku quote ulisema miaka 20 unakua chuo. hapa unasema miaka 20 uko fm 6 hujielewi kifupi?

alafu familia nyingi mtoto huanza na miaka 7-9 hapo ujaweka kurudia na kufeli kifupi ww n bwege
Acha kuandika utumbo..... Kwani ukimaliza form six na miaka 20 inachukua miaka mingapi kuanza chuo?! Si ni miezi michache tu..... Mimi nilianza chuo nikiwa na miaka 20 na form six nilimaliza nikiwa na miaka hiyo hiyo 20. Nilimaliza form six mwezi wa 5 kama sijakosea maana ni miaka mingi imepita, ilikuwa mwaka 2007 na mwaka huo huo 2007 mwezi wa 10 nikaingia chuo. Wewe ndo uache ubwege!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]madogo wengine bna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…