We boya unawaza ujinga tu😃😃😋😋✌️ aloo kuna mishangazi pale... itakua poa sana
Wewe kama ni mwanaume rijali tupe maoni yako utakapoona hivyo vipisi vya chadema vikiandamana NRNE vikiwa utupu? Polisi wa kiume walio rijali wataweza kweli kuvipiga mabomu ya machozi? Watavikamata na kuvishitaki kwa kosa gani kwenye penal code ya nchi yetu? Kweli Tundu Lissu ni kiboko. Kumbe mbinu moja wapo ya kuzuia uchaguzi mkuu moja wapo ilikuwa ni hii.We boya unawaza ujinga tu
Uzurulaji ndio kosa pekee wanalolijua polisi kwa mtu anaetembea uchi maana chizi hashtakiwi mahakamaniWewe kama ni mwanaume rijali tupe maoni yako utakapoona hivyo vipisi vya chadema vikiandamana NRNE vikiwa utupu? Polisi wa kiume walio rijali wataweza kweli kuvipiga mabomu ya machozi? Watavikamata na kuvishitaki kwa kosa gani kwenye penal code ya nchi yetu? Kweli Tundu Lissu ni kiboko. Kumbe mbinu moja wapo ya kuzuia uchaguzi mkuu moja wapo ilikuwa ni hii.
Utatembea uchiMdogomdogo
Wanawake wa chama cha CHADEMA BAVICHA mkoa wa wa Songwe watishia kutembea uchi kama sheria za uchaguzi haitabadilishwa maana wameshaongea sana lakini mamlaka bado aziwaelewi kabisa!Maandamano kama hayo ya wanawake wakiwa uchi wa mnyama yalishafanyika mara kadhaa kwenye nchi za ulaya ili kushinikiza kitu fulani. Midume ya ulaya kwa kuwa hayana nguvu timilifu za kiume huwa inapita tu ba kujali.
Wanawake wa chama cha CHADEMA BAVICHA mkoa wa wa Songwe watishia kutembea uchi kama sheria za uchaguzi haitabadilishwa maana wameshaongea sana lakini mamlaka bado aziwaelewi kabisa!
Wamepwaya kichwani hao, hawaoni ndiyo itakuwa siku ya gulio?Wanawake wa chama cha CHADEMA BAVICHA mkoa wa wa Songwe watishia kutembea uchi kama sheria za uchaguzi haitabadilishwa maana wameshaongea sana lakini mamlaka bado aziwaelewi kabisa!
Wana hamu ya kuanika papuchi zao hadharani ili minjemba izione