Sonko abambikiziwa kesi ya ugaidi baada ya kusema Uhuru anavuta" bhangi"

Sonko abambikiziwa kesi ya ugaidi baada ya kusema Uhuru anavuta" bhangi"

Ugaidi upi tena jamani! Si tulikubaliana kenya kuna uhuru wa kutoa maoni 😂😂😂
Sonko nae in msema hovyo, alitakiwa mambo mengine akae kimya, akumbuke Uhuru ni rais na ni taasisi asije akajikuta anapata madhara hata ya kiafya
 
Ila mkubwa anakichoma akubali ukweli
Hata Kama anavuta bangi hutakiwi kusema mambo personal ya rais ..ndiio maana kwenye kiapo Kuna kipengele cha kuficha sirii.. sonko kaongea ukweli ambao haikua lazma aseme hadharani, ukizngatia anaemsema ni rais was nchi
 
Kuna Vitu Confidential mkuu sio huu upuuzi wa kula ganji unamwona mkubwa jicho limeiva mda wote anatabasamu[emoji23][emoji23][emoji23] ni tiba nzuri kabisa mbona walioendelea wameiruhusu hii kitu. Afrika tunakomoana kwa vitu vya kipuuzi sana. Uwe unatumia lugha ya vijana mkuu hakuna sehemu nimetaja anavuta bangi[emoji34]
 
Kuna wakenya huku jf walikua wanasema wakenya wana uhuru wa kumtukana Rais wao matusi yote wansyoweza sababu katiba inawalinda na Rais ni mtu wa kawaida sana kwao, nacheka tu huku naogopa
 
Corona ikiisha ziara za Kingston Kama kawa kuweka vizur mindset
 
Kuna wakenya huku jf walikua wanasema wakenya wana uhuru wa kumtukana Rais wao matusi yote wansyoweza sababu katiba inawalinda na Rais ni mtu wa kawaida sana kwao, nacheka tu huku naogopa
mkenya akiongea maneno 10,chukha moja nalo lifunge kamba uburuze, maana si la kulihifadhi sana.
 
Back
Top Bottom