Sonnabend Pediatric AIDS Foundation (SPAF)

Joined
Mar 1, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari za muda huu wakuu?

Samahani bwana, hivi Kuna mtu yeyote anaufahamu mradi unaohusika na maswala ya Ukimwi unaosimamiwa na Sonnabend NGO?
..
Wamemwaga ajira nyingi sana zenye mshahara mnono kuanzia Dola 2500 hadi 3500 kwa Mwezi. Sasa changamoto yake ni kwamba ,

Mimi nimeapply ila nimeshindwa kusubmit Staff Entry Form kwasababu, Wanataka niambatanishe na Psychometric assessment Report na wameattach link WHY PAR? – ICPD Africa ya Taasisi inayojihusisha na utoaji wa hizo Assessment.

Hizo Psychometric Report zenyewe zinalipiwa kuanzia Dola 50 na kuendelea, na submission ni kesho tarehe 2 March 2024.

Je, kuna mwenye experience ya kufanya kazi na hawa watu, na je huo ndiyo utaratibu wanaoutumia siku zote kwenye recruitment?

 
Mtego huo ndugu. Utapigwa mchana kweupee
 

Attachments

  • Screenshot_2024-03-01-17-05-06-135_com.google.android.gm.jpg
    660.9 KB · Views: 19
mimi pia nipo kwenye huo mtego. maelezo yako ni kama yangu. sasa kilichonishtua ni hiyo recommendation ya invigilator, wametoa link mbili za invigilator, lakini ni the same invigilator with two different links leading to the same website. lol! that caught my attention and i was like.. naaah! hata kama nipo too desperate finding a job, lakini this is definitely a scam.
 
Kwamba utalipwa 7m[emoji16][emoji16]vijana mnatapeliwa sana
 
Mbona umetumia njia complex sana kugundua ni matapeli? Hii kitu ukisoma hilo tangazo hata kabla hujafika katikati unatambua kabisa huu ni utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…