Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei katika maduka yao itaanza kwa $699 tu, hiyo ikiwa ni version isiyo support disc
View: https://www.youtube.com/live/X24BzyzQQ-8?si=IlHmaP3mGuXN8-Rt
View: https://www.youtube.com/live/X24BzyzQQ-8?si=IlHmaP3mGuXN8-Rt