Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
But without those things, is life worth living ...?Three things most dangerous and dreadful to a man
1. Love of Money
2. Love of Fame
3. Love of Women
Ukiweza kuvikimbia wewe ni Mwanamume sio tena mwanaume 🙂
Ukivitoa vyote hivyo, labda utabaki na HOPE ya kuiona kesho, onlyBut without those things, is life worth living ...?
Mkurugenzi umepotea sana sikuoni kule kijiweniThree things most dangerous and dreadful to a man
1. Love of Money
2. Love of Fame
3. Love of Women
Ukiweza kuvikimbia wewe ni Mwanamume sio tena mwanaume 🙂
But without those things, is life worth living ...?
Huwa siamini katika hivi vitu vinavyoitwa Illuminati na Freemasons
Ni propaganda tu
Mkurugenzi umepotea sana sikuoni kule kijiweni
Umenichekesha hilo jina teh tehNipo kaka 'mswati' habari za masiku 🙂
Unaongea juu juu tuHakuna lolote hapo.
Freemason sijui Illuminate ni mawazo ya kimaskini.
Mimi ninachotaka ni wanaoamini kuwa hayo yapo wanithibitishie kuwa yapo.Kutokuamini ni kuchagua au pengine ni kukosa taarifa za kutosha. LAKINI kutokuamini hakumaanishi usichokiamini HAKIPO.