Zogolo1550
Member
- Dec 2, 2018
- 39
- 16
Ina kaa na chaji muda gani?Haijapasuka iko poa kabisa
Chaji inategemea na matumizi ya mtuIna kaa na chaji muda gani?
Chaji inategemea na matumizi ya mt
[emoji28][emoji28]Simu inayokaa na chaji inajulikana, mfano mzuri ni tecno au infinix je, hio simu ina kiwango kile cha uhimilivu wa kutunza umeme?
Au ndo ile ikikaa mkononi ndani ya lisaa limoja ishafika 53%?
Dah unanitoa kwenye reli brooMbona nyuma Haina mfuniko
Matumizi makubwa kwa mujibu wako ni yapi? Jibu pleaseKama huna matumizi makubwa unamaliza siku