Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari ndugu zangu, namalizia malizia msiba soon nitarejea tena ukumbini tuendelee kuhabarishana na kuelimishana apa na pale🙏🏽
Shukran sana 🙏🏽 Kwa wale wote mlio kua pamoja NAMI katika kipindi iki kigumu ninacho pitia.
Sina cha kuwalipa ila alieumba hii dunia na vilivyomo ndani yake atawalipa zaidi🙏🏽