Habari ndugu zangu, namalizia malizia msiba soon nitarejea tena ukumbini tuendelee kuhabarishana na kuelimishana apa na paleππ½
Shukran sana ππ½ Kwa wale wote mlio kua pamoja NAMI katika kipindi iki kigumu ninacho pitia.
Sina cha kuwalipa ila alieumba hii dunia na vilivyomo ndani yake atawalipa zaidiππ½